Print this page

Spurs kumchunguza Bissouma uvutaji Sigara

By December 12, 2025 17 0

London, Uingereza
Tottenham wanasema wanachunguza madai kwamba kiungo Yves Bissouma, alirekodiwa akivuta nitrous oxide.
Gazeti la The Sun lilichapisha picha, ambazo lilidai zilimuonesha mchezaji huyo wa kimataifa wa Mali, mwenye umri wa miaka 29 akivuta dutu hiyo, ambayo pia inajulikana kama gesi ya kuchekesha au NOS.

Rate this item
(0 votes)
Japhet