Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma - Mbezi Beach, Jimboni humo baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu iliyoadhimishwa Dominika iliyopita parokiani hapo. Wengine ni Viongzi wa Kamati Tendaji ya Parokia hiyo.