Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Waamini na Masista kutoka Majimbo Katoliki mbalimbali nchini Tanzania, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuweka Nadhiri za Kwanza na za Daima, kwa Mafrateri wa Shirika la Bikira Maria wa Mlima Karmel, wawili ambao ni Frt. Felix Malimi na Frt. Gabriel Mtiti, wameweka Nadhiri za Kwanza, huku Frt. Dickson Sambala akiweka Nadhiri za Daima, iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. (Picha na Yohana Kasosi).

Mapadri, Viongozi wa Serikali, Kamati Tendaji, ya Parokia, wakiwa katika picha ya pamoja na Waamini na wanakwaya wa Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe, Mwenge, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Somo wa Parokia hiyo, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe (katikati mwenye tai). Kushoto kwa Mkuu wa Wilaya ni Paroko Msaidizi wa Parokia hiyo, Padri Daniel Mapunda. Misa hiyo iliadhimishwa na Mkurugenzi wa Tumaini Media, Padri Joseph Massenge, ambaye pia ni Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu, Makongo Juu, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)