Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Waamini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya Ekaristi Takatifu baada ya adhimisho la Misa Takatifu ikiwa kama ishara ya kumtangaza…
Baadhi ya Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Peter Clavery-Mbezi Louis Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya Sikukuu ya Ekaristi Takatifu yaliyofanyika Parokiani hapo.
Katibu wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma - Mbezi Beach, Jimbo Kuu la Dar es Salam, Juliana Urio akiongoza maandamano wakati wa sherehe za Sikukuu…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (wa tatu kushoto) akiwa katika maandamano na Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma -…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri, WAWATA na Viongozi mbalimbali wa Walei baada ya Askofu…
Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma - Mbezi Beach, Jimbo Kuu la Dar es Salam, wakiwa katika maandamano wakati wa sherehe za Sikukuu ya Ekaristi Takatifu baada…
Kikosi cha Police Band Dar es Salaam kikiwa katika picha ya pamoja na Mapadri ndani ya kanisa baada ya kuongoza maandamano ya Sikukuu ya Ekaristi Takatifu yaliyofanyika katika Parokia ya…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Walei baada ya Askofu kuwaapisha Viongozi wapya…
Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus wa Tolentino - Msingwa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa kanisani wakati wa adhimisho la Misa Takatifu…
Page 1 of 24