DAR ES SALAAM Na Joyce Sudi Wasimamizi wa Vijana Waimarishwa wametakiwa kuwasimamia vizuri ili waweze kukua kiimani na kimaadili.Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Askofu…
ROMBO Na Mathayo Kijazi Watawa wa Kike wametakiwa kuendeleza karama walizojaliwa nazo, ili kila mmoja aweze kupokea baraka zaidi kupitia karama alizo nazo maishani mwake.Hayo…
BAGAMOYO Na Mathayo Kijazi Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), wametakiwa kufahamu kwamba kushiriki Hija, ni kukutana na Mungu, waongee naye, wamshirikishe shida zao.Hayo yalisemwa na Askofu…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewataka Waamini kujitathmini kikamilifu…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni katika maeneo mbalimbali nchini kati ya Oktoba…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesaini makubaliano na taasisi ya Henan Polytechnic Institute, kutoka Nanyang,…
Dar es Salaam Na Mwandishi wetu Waimarishwa wameelezwa kwamba kumpokea Roho Mtakatifu kupitia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, ni kupewa jukumu la kuisimamia, kuilinda na kuitetea…
DAR ES SALAAM Na Alex Kachelewa Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umesema hatua ya kuboresha huduma zake kumesaidia mfuko huko kupiga hatua…