Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

VATICAN CITY Hayati Baba Mtakatifu Fransisko ameacha wosia wake wa kiroho kwa Ulimwengu akisema kwamba, siku zote amekabidhi maisha na huduma yake ya Kipadri na…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam amewataka Waamini kumtangaza Kristo,…
Dar es Salaam Na Laura Mwakalunde Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeaus Ruwa’ichi amewataka Wanakwaya kutambua kwamba…
Dar es Salaam Na Mwandishi wetu Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia-Goba Mwisho, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Musa Kihoo,…
BAGAMOYO Na Mathayo Kijazi Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Bagamoyo Lango la Ukristo Tanzania sasa historia yake imekamilika, kutokana na kuundwa kuwa Jimbo…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Waamini wameonywa kuepuka kukata tamaa kutokana na majaribu wanayokutana nayo, kwani hayo ni sehemu ya maisha yao.Kauli hiyo ilitolewa…
MBEYA Na Angela Kibwana Mhashamu Godfrey Jackson Mwasekaga, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Mbeya, amesema malengo ya Kwaresima ni kufanya toba, wongofu wa ndani…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Wanandoa wametakiwa kupendana na kuvumiliana katika shida na raha siku zote za maisha yao, kwani katika maisha ya ndoa…
Dodoma Na Mwandishi wetu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeshauri Serikali kusimamia vyema Mkandarasi anayejenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Imeelezwa kwamba endapo ikatokea Askari ama Mwanajeshi akafanya mauaji ya mtu ama watu katika vita vya haki, siyo dhambi.Aidha,…
Page 1 of 16