Print this page

Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara, Kiluvya

By August 30, 2024 1003 0

Paroko wa Parokia ya Watakatifu Wote Kiluvya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Justus Rugaimukamu, akiwabariki waamini waliotoa Zaka wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara parokiani hapo hivi karibuni. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet