Print this page

Parokia ya Mtakatifu Maria Magdalena – Kimara Mtoni

By December 12, 2025 31 0

Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Maria Magdalena – Kimara Mtoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo iliyoadhimishwa hivi karibuni parokiani hapo. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet