Print this page

Dekano picha ya pamoja Parokia ya Bikira Maria Malkia-Kilimahewa

By December 12, 2025 38 0

Dekano wa Dekania ya Kilimahewa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Paul Kamuhabwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Bikira Maria Malkia-Kilimahewa jimboni humo, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. Mstari wa nyuma ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Daudi Ngate.

Rate this item
(0 votes)
Japhet