Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus wa Tolentino - Msingwa, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa kanisani wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo.