Print this page

WAWATA Parokia ya Mtakatifu Kizito – Kilongawima

Paroko wa Parokia ya Kirua_Iwa, Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Calistus Shayo, akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa Parokia ya Mtakatifu Kizito – Kilongawima, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya WAWATA (WAWATA Day) iliyofanyika parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet