Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei, Parokia ya Mtakatifu Thoma wa Akwino – Kipunguni, jimboni humo, baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Kutabaruku Kanisa na Altare parokiani hapo.