Print this page

Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga - Yombo Dovya

Baadhi ya Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga - Yombo Dovya Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. Wa pili kushoto ni Careen Sylvester mtoto wa mfanyakazi wa Tumaini Media, Sylvester Ndomba.

Rate this item
(0 votes)
Japhet