Print this page

Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri - Chang’ombe

Padri Richard Mlay CP, akiwa katika picha ya Viongozi wa Halmashauri ya Walei na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili- Tegeta Kibaoni Jimbo Katoliki la Bagamoyo baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja Takatifu ya Upadri wake iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri - Chang’ombe, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)
Japhet