Print this page

Daraja Takatifu ya Upadri wa Padri mpya Richard Mlay CP

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja Takatifu ya Upadri wa Padri mpya Richard Mlay CP, iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri - Chang’ombe, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet