Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji akiwa katika picha ya pamoja na vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume, Vigozi, wakiwa wameshika vyeti vyao baada ya kupokea sakramenti hiyo. Kushoto kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Yohana Marunda.