Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume, Vigozi Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara iliyoadhimishwa parokiani hapo hivi karibuni sanjari na kumpongeza Askofu Msaidizi wa Jimbo hilo, Mhashamu Vincent Mpwaji.