DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amesema kuwa Kanisa halihitaji Mapadri…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amawasihi Wakatoliki kuacha woga…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Wazazi nchini wametakiwa kutambua kwamba namna wanavyoishi, na watoto wao pia wataishi kama wao.Ili waweze kufuata maisha mema, wazazi…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Imeelezwa kuwa Mungu ameumba uoto wa asili, maji, na viumbe malimbalimbali duniani ili visiharibiwe, kwani chanzo cha kutoka kwa…
Dar es Salaam Na Salum Mgweno-SJMC Soko la Kilamba katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, limegeuka gofu baada ya kutelekezwa na wafanyabiashara kwa…
Dodoma Na Mwandishi wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amekemea vitendo vya mateso na unyanyasaji kijinsia vinavyofanyika dhidi ya mabiinti wa…
Dar es Salaam Na Mwandishi wetu Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency: TFS) umesema kwamba utaendelea kuhamasisha Watanzania kujikita katika ufugaji…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu amewapongeza wazazi waliowalea vyema watoto wao…