Print this page

Changamoto afya ya akili na namna ya kujinusuru

By December 12, 2025 30 0
Dokta Isaac Lema, Msaikolojia Tiba Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Muhimbili, na Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Akili (Mental Health Association of Tanzania - MEHATA), akizungumza na mwandishi wa makala hii katika mahojiano maalum. (Picha na Maktaba) Dokta Isaac Lema, Msaikolojia Tiba Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Muhimbili, na Mwenyekiti wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Akili (Mental Health Association of Tanzania - MEHATA), akizungumza na mwandishi wa makala hii katika mahojiano maalum. (Picha na Maktaba)

DAR ES SALAAM

Na Edvesta Tarimo

Afya ya akili ni moja ya vipengele muhimu zaidi vya ustawi wa binadamu, lakini mara nyingi hupewa nafasi ndogo katika mjadala wa afya. 
Hata hivyo utafiti unaonesha kwamba, afya ya akili inajumuisha hali ya kiakili, kihisia na kijamii ya mtu, na ni msingi wa jinsi anavyokabiliana na changamoto za kila siku. 
Licha ya kwamba kila mtu anapitia magumu maishani, kuna njia za kujikinga dhidi ya athari za majeraha ya kihisia (kiwewe), na kujenga uthabiti wa kukabiliana na hali ngumu.

Rate this item
(0 votes)
Japhet

Latest from Japhet