Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kanisa kutoa mafunzo kuhusu ulinzi wa watoto

picha ya pamoja wajumbe wa mkutano wa Usalama wa AMECEA picha ya pamoja wajumbe wa mkutano wa Usalama wa AMECEA

ADDIS ABBA,

Ehiopia

Uaskofu Mkuu wa Ethiopia wa Emdibir, umeandaa kikao maalumu cha mafunzo kinacholenga ulinzi wa watoto, mpango unaotajwa kuwa ni muhimu ikizingatiwa kwamba, zaidi ya theluthi moja ya watoto nchini humo kwa sasa, wanakabiliwa na alama kubwa za udhaifu.
Programu hiyo iliundwa kwa ajili ya walimu wa vyama vya watoto katika Parokia mbalimbali, iliyofunguliwa na Mchungaji Abba Tesfa-Amlak Fikre, Mratibu wa Idara ya Uchungaji.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.