Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

‘Tusiitoe Azam FC kwenye mbio za ubingwa’

Thabith Zakaria. Thabith Zakaria.

Dar es Salaam

Na Nicolaus Kilowoko

Baada ya wadau wa soka na mashabiki kuanza mijadala juu ya uwezo wa klabu ya soka ya Azam FC na wengine kuhoji mwenendo wa klabu hiyo katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, uongozi wake umekanusha mtazamo huo.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabith Zakaria ametoa tathmini yake kuhusu mwenendo wa timu yao baada ya mechi saba za Ligi Kuu, akisema bado wako ndani ya malengo hivyo hakuna wa kuwayumbisha.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.