Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

Bagamoyo Na Mathayo Kijazi Wakristo wametakiwa kuepuka kiburi na majivuno, kwa kudhani bila wao mambo hayawezi kufanyika katika Kanisa, na jamii kwa ujumla.Hayo yalisemwa hivi…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Waamini wametakiwa kufuata mafundisho ya Bwana Yesu Kristo na mwenendo wake, kwa kuwarithisha watoto wao Imani Katoliki.Wito huo ulitolewa…
Shinyanga Na Angela Kibwana Mhashamu Askofu Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, amewata Wakatoliki kuendelea kuombea na kulinda amani ya nchi, hasa kuelekea Uchaguzi…
Visiga Na Laura Mwakalunde Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Edward Sabbas amesema kwamba, Taifa linaloshindwa kufuata misingi bora ya utu hupotoka.Padri…
Dar es Salaam Na Mwandishi Maalumu Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara, hasa magonjwa yasiyo ambukiza, ili kuepuka madhara zaidi.Rai…
Dar es Salaam Na Celina Matuja Wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya Sekondari, katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia Kinyerezi, jijini Dar es…
Dar es Salaam Na Laura Mwakalunde Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amewaonya Waamini kuacha kuwa…
Mahenge Na Mathayo Kijazi Askofu wa Jimbo Katoliki la Mahenge, Mhashamu Agapiti Ndorobo, amesema kuwa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ni vyema kuchagua…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Imeelezwa kuwa imani ya kweli si kujisifia, kujivuna, wala kujiona, bali kujishusha.Hayo yalisemwa na Monsinyori Novatus Mrighwa, Mwalimu wa…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Parokia ya Mtakatifu Peter Claver – Mbezi Louis, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, imeadhimisha Jubilei ya Miaka…