Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama, Mhashamu Christopher Ndizeye (katikati) akiwa katika adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadri iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Mt. Karoli Lwanga, jimboni humo. Kushoto ni Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa na kulia ni Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma.
















