Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akimpongeza Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kwa kuadhimisha Jubilei ya…
Padri Germine Laizer akiwavisha rozari baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Wajane na Wagane Dar es Salaam Na Benedikto Agostino Wajane na Wagane nchini wametakiwa kuendelea kuishi fadhila za…
MOSHI Na Mwandishi wetu Mkuu wa Jeshi la Polisi (Inspector General of Police: IGP) nchini, Camillus Wambura amesema kwamba takwimu za makosa makubwa ya jinai nchini yameongezeka katika kipindi cha…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamesema wamekumbwa na mashaka kuhusu matumizi ya michango yao.Kwa nyakati tofauti, wanachama hao wamesema hawana imani kama…
DODOMA Na Ndahani Lugunya Wakristo nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo, kuchangia Pato la Taifa, na kutatua changamoto katika maeneo yao.Hayo yalielezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi…
Waamini na Masista kutoka Majimbo Katoliki mbalimbali nchini Tanzania, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuweka Nadhiri za Kwanza na za Daima, kwa Mafrateri wa Shirika la Bikira Maria…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Bikira Maria…
Mapadri, Viongozi wa Serikali, Kamati Tendaji, ya Parokia, wakiwa katika picha ya pamoja na Waamini na wanakwaya wa Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe, Mwenge, Jimbo Kuu Katoliki la Dar…