VIENNA, AustriaMkuu wa timu ya Mercedes, Toto Wolff, ambaye pia anamiliki theluthi moja ya mabingwa wa zamani wa mbio za magari atasalia katika jukumu lake…
LEDDS, UingerezaHelen Housby MBE amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 14 cha Vitality Roses kitakachoshiriki Kombe la Mataifa ya Vitality kati ya Januari 20 na 21…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Fainali za Mataifa ya Afrika, maarufu kama (Africa Cup of Nations: AFCON) za mwaka 2023 zinaendelea nchini Ivory Coast…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza kuandaa mkakati wa kuisuka timu ya Taifa kwa lengo la…
DAR ES SALAAM Na Alex Kachelewa Magonjwa yasiyoambukiza (MYA), ni maradhi ambayo hayaambukizi na wala hayawezi kusambazwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine au…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka L’Orchestra African Fiesta, mara nyingi ilijulikana kama African Fiesta, ilikuwa bendi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yenye mtindo…
NEW YORK, MarekaniLigi ya National Basketball Assocation (NBA) imeanzisha sheria mpya zitakazoruhusu timu kumpumzisha mchezaji wao nyota mmoja pekee katika kila mchezo msimu huu.Bodi ya…
LONDON, EnglandEmma Raducanu amefichua kuwa anapanga kurejea kwa kishindo mwaka 2024 huku akiendelea kupata nafuu, baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye vifundo vya mikono na kifundo…