New York, MarekaniSerena Williams anasema kwamba, hana cha kuthibitisha kurudi kwake kwenye tenisi ya ushindani, baada ya kutokuwepo kwa karibu miaka minne, akiongeza kuwa motisha…
MADRID, HispaniaBaada ya zaidi ya miaka 14 huko Atletico Madrid, kocha Diego Simeone ameanza kufikiria maisha mapya nje ya klabu hiyo, huku maswali kwa mashabiki,…
Nairobi, KenyaMshindi wa zamani wa Marathon ya New York Albert Korir, amepigwa marufuku kwa miaka mitano, baada ya kukubali kutumia dawa za kuongeza nguvu mwilini.
Dar es Salaam Na Nicolaus Kilowoko Wakati kukiwa na uchunguzi wa vitendo vya upangaji wa matokeo, katika mashindano mbalimbali ya soka Tanzania Bara, huko visiwani…
Newyork, MarekaniWaandaaji wa mashindano ya Milan-Cortina 2026, wanasema kuwa wanachunguza kwa nini medali za Olimpiki zinavunjika, baada ya wanariadha kadhaa kukumbwa na matatizo hayo.Washindi wawili…
London, UingerezaTottenham Hotspurs wako kwenye vita vya kushushwa daraja, anasema nahodha wa zamani wa Uingereza Wayne Rooney.Kichapo cha 2-0 kutoka kwa Manchester United, kiliongeza mwendo…